Mfumo unaounganisha huduma za kanisa na maktaba ya Kikristo.
Wanachama wote wanaotaka kuona vitabu au mahubiri ya kanisani wanapaswa kuwasiliana na makanisa yao kujua jinsi ya kujiunga.
Kwa wenye maduka ya kuuza vitabu unaweza kuwashirikisha wateja wako wajiunge na mtandao kama wanachama huru.
Kama jibu ni ndiyo bofya linki ya hapo chini ili kuendelea.